Kietulo

Kietulo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waetulo. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kietulo imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kietulo iko katika kundi la Kiidomoidi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search